MADHARA YA UVUTAI WA SIGARA

Uvutaji wa sigara imekuwa janga kubwa sana kwa kizazi cha sasa na kusababisha kupunguza nguvu kazi ya taifa kutokana na vijana wengi kuathilika kiakili kutokanana uvutaji wa sigara kiasi cha kusababisha mlipuko wa magonjwa mbalimbali kama saratani,inn kuharibia,figo na kansa. Baadhi ya magonjwa hayo ambayo matibabu yake yapo katika kiwango cha juu mtu amabaye anaendekeza uvutaji wa sigara ovyo kwa asilimia 90% anaweza kupata maradhi hayo kutokana na kemikali ambazo zinapatkana katika sigara hasa katika saratani na inni kuharibika kutokana na moshi wa sigara. Imekadiliwa kuwa kila sekunde nane mtu mmoja hufariki dunia kutokana na utumuaji wa sigara lakini pia imebainika kuwa watu saba kati ya kumi wanaovuta sigara uanza kujifunza toka wangali watoto. Na pia wanaoendelea kuvuta sigara kwa muda mrefu hufupisha maisha kati ya miaka 20_25 kwa sababu sigara ina kemikali zaidi ya 4000 ambazo zina uwezo wa kudhuru afya ya binadam,sigara ina madhara mengi kama haya kunyonyoka nywele ,magonjwa ya macho,kansa,salatani ya ngozi na mapafu hayo ni madhara baadhi tu ambayo kama binadam au kijana unatakiwa kuyajua ambayo yanahatalisha maisha ya watu wengi kutokana sigara kitu ambacho hakina ulazima katika matumizi na mwisho wa siku ikakugalimu gharama kubwa kutibiwa maradhi ya kutaka mwenyewe kama saratani kitu ambacho ni hatari sana. Napia kwa upande wa vijana ambao wamesha jiingiza katika vitendo hivyo vya uvutaji wa sigara wanatakiwa kuacha ilikuweza kulinda afya zao kwani uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya ,chakufanya ni kufanya mambo ambayo yatakufanya uwebize ili usiweze kupata muda utakao kufanya usitamani sigara. Hivyo ukiwa kama binadamu unatakiwa kujitambua wewe ni nani katika dunia hii na pia kufuata misingi mizuri ya kuishi na kusikiliza ushauri mbalimbali wa madaktari kuhusu afya . ONYO UVUTAJI WA SIGARA NI HATALI KWA AFYA YAKO…

No comments