DIAMOND ATHIBITISHA YUPO NJIANI KUFANYA COLABO NA CHRIS BROWN

Diamond yupo Afrika kusini kwaajili ya kufanya shuting ya wimbo wake alioshilikishwa na msanii wa R&B Donald(wa Afrika kusini) hii nikwa mara ya pili wakali hao kufanya nyimbo ya pamoja mwaka 2015 wawili hao waliachia wimbo wa pamoja unaoitwa WANGU ,Wote wakiwa wameweka crip za wimbo wao Instagram kwa kukutana wao tena. Wakati huo huo Diamond wenda alikuwa anatupa habari kimafumbo kuwa kuna uwezekano wa yeye kufanya Corabo na Chri Brown katika Collabo zake za badae

No comments