KESI YA WEMA YAZIDI KUPIGWA TEKE MAHAKAMI

Leo April 12 msanii Wema Sepetu afika mahakama ya akimu mkazi kisutu kusikiliza kesi yake ya tuhuma zakukutwa na dawa za kulevya ambapo upande wa Jamuhuri umeshindwa kukamilisha upelelezi juu ya kesi inayomkabili msanii huyo Upande wa mashtaka uliowakilishwa na wakili wa serikali Costantine Kakula ulidai kuwa kesihiyo imefika kwaajili ya kutajwa lakini kesi hiyo haijakamilika na kupangiwa siku nyingine ,Hakimu mkazi mkuu Tomas Simba,Amehuoji upande wa Jamuhuri,Kutokana na kucheleweshwa na upelelezi wa kesi ambapo kila tarehe inayotajwa Serikali inadaikuwa kesi hiyo haijakamilika Kesi hiyo imeahilishwa tene naitatajwa tena tarehe 2 mwezi May mwaka huu.

No comments