DIAMONDI AFUNGUKA SIRI YA KUFANYA KOLABO NA YOUNG KILLER

Stori inayotrend kwa sasa ni kuhusu Diamond Platnumz ambaye ni kiongozi wa WCB kuzindua brand yake ya Manukato yaitwayo CHIBU PERFUME ambayo imepokelewa vizuri na mashabiki wake Aidha Diamond amegusia kuhusu kufanya kolabo na rapa Young Killer akisema amefanya muziki wa nyumbani kwa sababu kufanya kazi tena na wanaigeria hakuwashtui watu kama zamani kitu ambacho watu hawastuki kabisa Nimefanya kolabo na Young Killer kunyanyua muziki muziki wetu umekuwa wa kiushindani kabis lazima tujitume Wanigeria sasa hawapo juju yetu muziki wetu upo juu___Diamond Platnumz

No comments