MAJIBU YA WEMA KWA HARMORAPA

Sijawahi kumchukia mtu yeyote anaehangaika kutafuta riziki yake kwa kuwa na mimi natafuta.Ila mdogo wangu harmorapa you are getting too much pigana namna gani utavyoupeleka mziki na jina lako juu but get meout of this.Nakuheshimu kama msanii mwenzangu lakini hili la kunadi kunitaka kimapenzi. Na kuonesha utayari wa kufanya mambo kadha kadha kwangu please waambie wengine unaodhani mnawezana ila mimi sio wa aina hiyo .usiniharibie image yangu niliyoipigania mda mrefu ,usiniharibie heshima yangu niliyoijenga katika chama changu cha chadema,usniharibie kwenye familia yangu ,marafiki zangu na nilikuwa naye .ni utoto na ujinga kupost kila picha za wanawake eti wanakutaka na unaotoka nao.DO YOU THINK NA MIMI WA AINA HIYO usinidharaulishe nadhani kuna busara yaw ewe to look for another one BUT AM NOT FOR YOU and I hope utanipa heshima yangu kama dada yako au msanii mwenzako LETS STOP HERE.

No comments