WAKAZI WA BUGURUNI WEENDELEA KUTUPA TAKA KANDOKANDO YA MITALO YA MAJI TAKA

Mvua zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es salaam za sababisha baadhi ya mitalo ya kupitisha maji machafu kujaa na watu kupata mwanya wa kutupa uchafu katika mitalo hiyo kitu ambacho ni hatari kiAfya Je,hii ni sawa kwa kali Ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaa Paulo Makonda inayo seme WEKA JIJI SAFI

No comments