ASKOFU GWAJIMA ATANGAZA KUMSAMEHE DIAMOND ILA AMPA ONYO HILI….

Askofu Gwajima leo alikuwa ameahidi kumuweka wazi Diamond platnumz kujiunga kwake Freemason lakini amedai kuwa jana Diamond kupitia mtandao wa kijamii Instargam Alimuomba msamaha kwa mchungaji huyo Watu wengi leo walifulika katika kanisa hilo na wengine nawengine kutazama live kwa kupitia youtube wakitalajia kuwa mchungaji huyo atafunguka makubwa kuhusu Diamond lakini kalibia na mwisho wa mahubili yake alidai Biblia inasem anaeomba msamaha huaswa kusamehewa hinyohata ameamua kusamehe na kumsitiri,lakini anatoa ovyo kuwa akiendelea kumchokoza wiki ijayo atafunguka ……. Gwajima na Diamond waingia katika vita baada ya Diamond kumuimba Askof huyo katika wimbo wake uitwao Niache nikae kimya.

2 comments: