CHOZI LA MOYO (Sehemu ya TATU)

NA Janeth Frank Ulipo ishiakatika hadithi yetu nzuri ya Chozi la Moyo Tobiasi na Anna wamesha kubaliana sasa wanaanza mahusiano ya Mapenzi unajua nini kitatoke katika maisha yao ya mahusinao songa nayo ili ujue mwisho wa Hadithi hii……. Endelea, Baada ya kuanzisha mausiano yao Tobias na Anna walipendana sana Na Emma akaachakabisa kumfuatlia Anna Maisha yakaendelea baina yao Anna na Tobby ikapita wiki moja Tobby akasafiri kwenda Dar es salaam kuanza chuo wakati huo Anna alikwa akisubilia majibu yake ya kidado cha nne. Lakini Tobby alipo ondoka hakumuaga Anna kwa kuhofia kumuumiza nakumpa mawazo kutokana na ubichi wa mahusiano yao ndoilikuwailipita wiki moja tuu tangu waanzishe mahusiano yao. Anna akampigia simu Tobby,ukwapi?Tobby akamjibu nipo njiani naelekea Dar es salaam ila nakaa siku tatu na rudi usijal mpenzi wangu.Anna aliumia sana kusikia jibu hilo ilahakuwa najinsi kwakuwa alikuwa akimpenda sa Tobby .Siku tatu zikapita Tobby hajarudi lakiniTobby alimtumia Anna namba ya(babake mdogo Tobby)na kumtaka Anna awekalibu na mtu huyo uku akiendelea kumsubili kwani alimuahidi hatachelewa kuludi na kama atakuwa na shida basi mtu huyo atakuwa kama msaawake kwa kipindi ambachoyeye hatakuwepo Baada ya hapo Tobby aliamua kumwambia ukweli Anna kuwa yeye Dar ameenda kusoma chuo na atakaa miezi Sita tuu alafu ataludi. Anna hakuamiani kwa kusikia maneno yale yalitoka kwa Tobby kumbuka wakati huo Anna ndio alikuwa anaanza kufungua Moyo wake na kuwa ma mahusiano ya kimapenzi na mtu aliumia sana aliwaza mengi kwa wakati huo lakini hakuwa najinsi aliendelea kujipa Moyo na kuamini Tobby niwake atakama ameenda mbali,Basi Anna alikubaki kwa hayo na kumtakia Tobby safari njema nakumtaka awemakini pia azingatie masomo. Anna aliendeliea kuendesha biashara ya duka la mama ake mdogo mpaka matokeo yake yalipotoka,Matokeo yalipotoka Anna alifauru lakini hakupata bahati ya kuendelea na kidato cha tano aliumia sana kwa kukosa nafasi hiyo kwani alikuwa akijiweza sana darsani lakina mwaka wao 2012 hakukuwa na matokeo mazuri ya kidato cha nne kwani wanafunzi wengi walipoteza dira ayao ya masomo,Anna alimpigia simu Babaake alikuwa akiishi Dar es salaam nakumwambia kila kitu kuhusiana ma matokeo yake babaake alimsii aachekulia na kuahidi kumtaitia chuo huko dar es salaam.Lakini lwa upande wa Anna ilikuwa nivigumu sana kuikubal ali ile ikabidi ampigie simu mpenzi wake Tobby na kuwambia kila kitu kuhusiana na matokeo yake Tobby alimfaliji sana Anna na kumwambia maneno mazur kuhusiana maisha ya kusoma na kukaa nyumbani bila kusoma hivyo alimuomba Anna amsikilize babaake pia achague kitu anachopenda kusom,Anna alifalijika kwa maneno ya mpenzi wake Tobby …Itaendelea Je!Anna atamkubalia babaake kwenda chuo …Kumbuka Tobby yupo dar es salaam..Na Babaake Anna yupo Dar es salaam Nini kitaenda kutokea kama Anna ataenda dar es salaam

No comments