CHOZI LA MOYO (Sehemu ya Pili)

Na Janeth Frank. Ulipo ishia katika hadithi yetu nzuri ya CHOZI LA MOYO sasa endelea na utafahamu baada ya saa moja nini kilitokea songanayo …… Mara baada ya saa moja Emma nae akapita kwa Anna akamuuliza Anna vipi mbona haujanitafuta? Emma akamwambia Anna mwenzako me nakupenda sana naomba unikubalie Anna akasema sitaki,sikupendi na sitakimazoea Emma akaondoka na kuelekea ofisini kwake.Lakini kwa upande wa Anna alikuwa akimpenda Tobias japo aliogopa kumwambia. ILipofika jioni Tobias alipita dukani kwa kina Anna na kumsii usiku amtafute kwenye simu Anna alifurahi sana kusikia vile kwa sababu alikuwa akimpenda sana Tobias. Basi sikuiyo Anna alirudi nyumbani mapema alimkuta mama ake mdogo (reheme) anajianaa kwenda kazini alikuwa zamu usiku Anna akamkabidhi mauzo na kuendelea na shughli za nyumbani akaandaa chakula cha jioni wakati yupo jikoni mara simu itaita kupea alikuwa ni Tobias akasikia akisema mambo Anna na akajibu salama Tobias nipo jikoni napika nitakutafuta badae Toby akajibu sawa mama. Anna hakuwai kuwa na Boyfriend mpaka amemeliza kidato cha nne hivyo hakuwai kuwa na mahusiano na mwanaume mida ilienda kidogo meseger ikaingia kwenye simu ya Anna (mambo sweetie) Anna akajibu nani sweetie wako.Alikuwa ni Tobby alietuma sms ile Anna ukweli mimi nakupenda sana nipe moyo wako Anna na mimi nikupe moyo wangu Anna plz naomba upokee ombi langu Anna akajibu siwezi Tobby niache nagopa sana kujiingika katika mahusiano Tobby,Anna plz nisaidie moyo wako mimi nakupenda kweli plz nakuomba usinifikilie vibaya wala kunifananisha na mtu yoyote kama unavyo fikilia wewe.Lakini kumbuka Anna anampenda sana Tobby lakini hakutaka kumjubu kwa haraka kama nayeye anampenda .Tobby akampigia simu Anna Anna akapokea Tobby akamjibu vipi Anna mbona hujibu sms zangu Anna akasema salio langu limeisha ;Basi Tobby akamtumia salio Anna akajiunga baada ya kujiuna akamjibu Tobby na kumwambia sawa namimi pia NAKU___________.Tobby amwambia umesema nini sijakuelewa Anna akasema nakupenda Tobby nakuomba usije niumiza siitaji kujakutoa machozi kwa sababu yako nitaumia sana plz kama unanipenda basi nipende kweli ;Hayo yalikuwa ni maneno ya Anna: Baada ya kumjibu ivo Tobby alifurahi sana na kumjibu “Nakupenda sana Anna na Ninaaidi kukupenda,kukulinda,na kukufanya usijejuta wala kulia kwaajili yangu sawa wewe ni mtu nilie kupenda na kukuchagua wenyewe siwezi kukupoteza” Itaendelea ________ unajua nini kitatokea baada ya Anna na Tobby kuanzisha mausiano usikose…….

No comments