ROMA MKATOLIKI AONJA MAKALI ATEKWA NA KUPELEKWA PASIPO JULIKANA

Mbuge wa mikumi,Joseph Haule alimaarufu kama Profesa J ,amesema rappa Roma Mkatoliki pamoja na rappa Moni Central Zone wamechukuliwa nakupelekwa pasipo julikana na waliozivamia studio za Tongwe Records jana usiku .Profesa amedaiwatu hao wamemchukua pia na kijana wa kazi,coputer ya studio pamoja na TV Hii ni taarifa yake; ROMA MKATOLIKI AMEKAMATWA USIKU HUU….Nimstushwa sana kusikia kunawatu wameamia studio za Tongwe Records majila ya saa moja usiku na wamemchukua @Roma2030,@Moni_centrozone na kijana wa kazi napia wamechkua computer ya studio na Screen(TV)na wameondoka navyo kusiko julikana mpaka sasa hatujui wamekwenda wapi.

No comments