SABABU ILIYOPLEKEA WAZAZI WA LINAH KUMKATA MWANAUME ALIE MPA UJAUZITO

Akizungumza na Chimbukotz April5,2017 staa wa bongo flave Linah aliweka wazikuhusu ujauzio wake kwa namna nyine baadaya kusema awali wazazi wangu walimkataa mpenzi aliyenipa ujauzito huo kutokana nakuwa na dini tofauti “Nimebeba ujauzito atika right time kwangu na mwenzangu yupo tayari .mashabiki watageme kuona ndoa mudawowote” Linah Pamoja nahayo ,Linah hakusita kuzungumzia wimbo wake mpya unaoitwa ‘MFUPI’ambao umemtambulisha kwenye kipindi hicho,Akisema >>”Wimbo huu umeandikwa na mr Keshoyee aliona nakusikia kwenye pitapita zake akasema anibless na zawadi ya mashairi haya,naneno fupi limetokana na ubunifu wa mtunzi na wimbo wenyewe kutokana na maneno na kimo change”

No comments