DAINA NYANGE ASHINDA TUZO MBILI NCHINI NIGERIA

Leo april 5 2017 inaweza kuwa siku nzuri sana katika maisha ya msanii wa bongo fleva Dayna Nyange baada ya kushinda tuzo mbili za BAE Awards 2017 nchini Nigeria akishinda Best vocal performance female na Best Africa Artiste Baada ya kushinda tuzo hizo mbili msanii huyo aliamua kushare wa mashabiki ake katika kurusa yake ya Instagram>>’’Leo imekuwa siku yangu ya furaha sana sana sana naningependa niwashukuru wote mliokesha mkiomba,mlikesham kihamasishana,mlikesha mkinipigia kura.hatimae nimefanikiwakutwaa tuzo zote mbili Best vocal performance Female and Best Africa Artiste ‘’ ‘’Asanteni sana mashabik zangu ,Asanten sana wadau wangu ,asanteni sana Media zote ,Watazania,waandishi,na ma DJ.Asante sana produce wangu @mrttochez shukrani kwa menejiment yangu na wasanii wenzangu Sote tumeacha kazi na kufanya kazi moja tuu na hatimae matunda ni haya sijashinda mimi tu@daynanyange bali imeshinda Tanzania na frica kwa ujumla @ Juhudizenuzimezaamatunda Mungu awabarki sana Dayna Nyenge’’

No comments