CHOZI LA MOYO (Sehemu ya Kwanza)

MTUNZI: Janeth frank Ilikuwa siku ya jumanne alipowasili dukani kwa mama yake mdogo ajulikanae kamasara na ,duka hilo lilikuwa ni kwa ajili ya mahitaji madogo madogo .mama yake mdogo alimkabidhi majukumu na yeye akaelekea kwenye biashara zake nyingine na baada ya mda kidogo Anna alianza majukumu yake aliyoelekezwa na mama yake mdogo ,alihesabu bidhaa zilizopo dukani moja baada ya nyingine ili kuweka mahesabu sawa na kuongeza bidhaa zilizpungua. Wakati akiendelea na shughuli za pale dukani,walitokea vijana wawili mazungumzo yao yalikuwa hivi;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;; walimsalimu ,mambo dada Anna; salama niwasaidie nn?.mmoja wao akauliza dada unaitwa nani? Anna; naitwa Anna . Nao wakajitambulisha kila mtu kwa nafasi yake mmoja anaitwa emma na mwezake anaitwa juma. Tobias; Anna naitaji kuwa ra ki yako wa karibu nakupa mwasiliano yangu ukimaliza kazi utanitafuta Anna; ok sawa nikikumbuka nitakutafuta na kuwaomba waondoke kama hawahitaji chochote .sihitaji kundelea kuongea na ninyi mimi nina kazi nyingi hapa dukani. Emma; sawa Anna lakini sisi tunafanya kazi hapo karibu ,uje kututembelea . Anna; asante. Emma na Tobias walipokuwa wanaondoka ,Anna alipatwa na butwaa la ku kiria amtafute Juma baadae kupitia simu , akajiwazia moyoni akapata maamuzi na kujisemea simtafuti akachana karatasi iliyokuwa na namba ya simu nkuendelea na kazi zake. Anna alikuwa ni msichana mwenye mvuto ,mzuri wa tabia ,mpole ana heshima pia kwa kila mtu ,kutokan na upole wake na heshima aliyokuwa nayo ilikuwa sababu watu wengi kumpenda na kumhesimu. Lakini kwa upande wake Emma alimpenda sana Anna hivyo siku ya pili ambayo ilikuwa jumatano aliwahi sana mapema o sini ili apitie kwa anna aweze kuzungumza na Anna,alipo ka alimkuta akifanya usa dukani mazungumzo yalikuwa hivi Emma; mambo mke wa mtu ,shemeji mzima Anna; sijaolewa mimi Emma usiniite hivo kwani hujui jina langu. Emma; nakutania Anna naomba namba yako ya simu nina maongezi na wewe jioni. Anna; ok andika...........[akampa namba ya simu kwa Emma ] Emma akaondoka kuelekea o sini kwake. Mara baada ya saa moja .........................itaendelea usikose ........

No comments